Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.

Tangazo

Maisha yanabadilika kila Kukicha, tamaduni nazo zinabadilika, muda unakwenda na Umri unazidi kusogea. Itafika pahala utapaswa kuwa katika mapenzi na Mpenzi ama mtu ambaye ulitamani kuwa nae maishani (Man/woman of your Dream), hivyo basi huna budi kutambua/kufahamu watu unaotakiwa kuwa nao kabla kifo na Mauti kukupata.

1.Mtu kutoka nje ya Kabala/nchi au Bara lako.

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.Wazazi wako wanaweza kukukataza kuoa ama kuolewa na mtu ambaye ni kutoka nje ya kabila lako, lakini wakati mwingine hupaswi kuwasikiliza. Kutoka kimapenzi(Kuoa/Kuolewa) na mtu ambaye ni wa kutoka nje ya kabila/nchi ama bara lako, ni njia moja wapo ya kujifunza maisha na tamaduni tofauti tofauti(Ni jambo jema). Utawafundisha watu Lugha yako na utamaduni wa kwenu na wao pia watakufundisha Tamaduni zao. Wakati mwingine wote wawili mtajikuta macho kwa macho mkitazama/kujifunza jambo fulani. Mtapata watoto na watakua na Tamaduni mbili tofauti(Inapendeza si ndiyo?). Jambo hili linategemea Drama kutoka ktika familia za wazazi wenu lakini mkisimama kidete mtapata kile mlicho kidhamiria.

2. Mtu ambaye siyo mzuri machoni pa wengine lakini Mzuri kwako peke yako.

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.Hii inahusisha namba kubwa ya watu. Mfano mtu ambaye ana-share hobby na wewe, mtu ambaye ni mzuri, mtu ambaye kuna muda unafika mnagombana pasipo na sababu maalumu n.k. Mtakuwa mnapenda kuonyesha ulimwengu Furaha(Soma hii pia >> Furaha ya kweli inaletwa na wewe) yenu yakini Miguno na minong’ono kutoka kwa rafiki zenu vitawaonyesha kwamba HAWAPENDEZWI NA NYIE ila mnapendezana wenyewe. Ni sawa tuu haina shida na hii isikunyime chance ya kuwa na Mwanaume/mwanamke unayemtaka.

3.Mtu ambaye atakufanya uishi kama Mfalme au malkia.

Pia mtajulikana kama Mr/Mrs Nice Guy. Inawezekana kumuweka mtu huyu katika ukanda wa marafiki zako lakini unapaswa kuwa na imani katika hili. Sure,
they may not be what you’re looking for physically or something but look beyond
their looks. They
will always try and please you and meet you half way and pamper you all
through. All they ask for is your love and affection in return. Plus, you can
always grow to love them so don’t close your mind to it. Anyone who treats you
like you’re the best person on earth is what you deserve so enjoy them! Don’t
take them for granted however, if you find you can never love them, let them
go. Don’t be selfish.

4.Mtu ambaye Husamehe Mapema.

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla HujafaHakuna Kitu kinacho haaribu Mahusiano kama Migogoro isiyopata Ufumbuzi. Endapo utafanikiwa kukutana na mtu ambaye husamehe kwa wepesi na kuacha mambo yapite, wewe mchukue mtu huyu maana atakufaa. Ni vigumu kwa mtu kusamehe na kusahau matatizo moja kwa moja lakini ukikutana na mtu ambaye huachaga mambo yapite na kutizame mbele, hakika utafika nae mbali. Hakuna haja ya kuvunga wewe sema nae( Soma hii pia >>Sema naye, mwambie ukweli usimwogope)akikubali chukua kiroho safi( ha ha haaa).

5.Mtu ambaye haamini katika kudanganya ndani ya Mapenzi(Mulika mwizi).

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.Nafahamu ya kwamba wengi tunaamini mapenzi bila uongo hayaendi, ni kweli ila kuna ule wizi uliozidi ambao hata wewe mwenyewe ukiona uanatamani hata kujipiga hapo chini ufe tuu maana moyo wako utajawa na ghadhabu mithili ya simba aliye jeruhiwa porini kwa mshale wa mwindaji haramu, hivyo basi utatamani kumpata mchumba ambaye hana tabia za kitoto( mwongo mwongo). Endapo utampata mtu huyu, wewe chukua maana mtadumu kama ulimwengu(Dunia).

6.Mtu ambaye ana amini katika mabadiliko siku zote.

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.Mmoja kati ya wauaji wa Mapenzi ni jambo “I can Never Change”. Watu wanaopenda kusema  hivyo siku zote hatokaa ambadilike. Likini ukikutana na mtu ambaye hupenda kubadilika na kushikamana na wewe kama utakavyo, Tafadhali shikamana na Mtu huyu kwa mikono yako miwili wa usimwache akapita maana ukimwachilia utakua umepoteza LULU.

Basi hao ndio watu sita Ambao unatakiwa kuwa nao katika enzi za Uhai wako. Simaanishi huyo uliye nae hakufai ila ni matumaini yangu nae atakua kati ya hawa nilio wataja. Ni mimi swahiba wako yule yule Francis Mawere

AdvertisementMtokambali 728x90