Zilipendwa: Amigo -Less Wanyika | Listen &Download

Amigo
Tangazo

Amigo ni moja ya nyimbo waliyo-tamba nayo Less Wanyika miaka hiyo, miaka ya dhahabu, miaka ya Muziki Darasa. Mambo yaliyoimbwa humu ndani ni Mambo ya kweli kabisa ambayo yanatokea kila siku katika familia zetu. Pombe zimeharibu wazee wetu na kupelekea Familia zetu kusambaratika.

Leo nimeona nikupatie hii Amigo kutoka kwao hawa Less Wanyika. Unaweza Kuisikiliza Amigo hapo chi na Kuipakua pia.

AMIGO

DOWNLOAD

AdvertisementMtokambali 728x90