Historia ya msanii Gyptian

Ifahamu historia ya Gyptian mkali wa muziki kutoka Jamaica

Kwa majina kamili anajulika kama Windel Beneto Edwards a.k.a Gyptian na alizaliwa tarehe 25 October 1983 huko nchini Jamaica. Ni mwimbaji wa Muziki aina ya Raggae (Dancehall). Alizaliwa...
Sara na Albir wakalli wa Kizomba Dance

Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa ‘Kizomba dance’

Well! well! well!.. Leo nmepanda hapa MTOKAMBALI kivingine kabisa japo bado niko kule kule kwenye Burudani na Leo nitawapatia angalao Biography ya wakali hawa wa dance ulimwenguni....

Fahamu historia ya Kundi la UB40

Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani.  Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia kibao kama vile...

Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrica

Linapotajwa jina la wimbo wa "Neria" basi kila mmoja wetu atakua na mawazo mawili tofauti ambayo yote humuongelea Nguli wa muziki wa Kiafrica na sio mwingine ni...

Abert Mangwea Mkali wa Free-style aliye ondoka na Kipaji chake..

Historia yake Kwa ufupi.. Alizaliwa na jina la Albert Keneth Mangwair mnamo tar. 16 Novemba, 1982, Mbeya, Tanzania. Kiasili, ni mtu wa Ruvuma, yaani, ni Mngoni. Lakini alizaliw...

Lucky Dube, Mkali wa Raggea ambaye aliwahi kuishi.

Ninapo litaja jina la Lucky Dube ni wazi kwamba utakua unafahamu moja kwa moja namzungumzia nani. Ni moja kati ya wana harakati walio tetea haki za wanadamu...

Soma Hizi pia